




KSh 2,000,000 per Acre
Waa

Salim yusuf
Verified documentsHii shamba iko matuga sub count maeneo ya kombani unaingia nahapo kibao Cha kombani secondary kilomita moja na nusu utakua umefika shambani Ukubwa wake nihekari 3na nusu Bei ya 2,000,0000/ kwakila heka moja shamba hii ilipimwa miaka ya 70 huko iko na namba haija chukulia title deed na mwenyewe alifariki sasa niwahusika wake ndio wanauza endapo watapata mnunuzi awape pesa ya Kwanza watarithi na wamuuzie Hawa ni waisilamu urathi wao Ni Kama siku 30 hivi Shamba iko tambarare na hapaingii maji Mana iko juu na Nipahala pazuri Sana ,
KSh 2,000,000 per Acre
Safety tips
Similar properties