




KSh 750,000 per Acre
Kwale , Tsimba Golini , 3 months ago
Tsimba Golini

Salim yusuf
Verified documentsHii shamba iko patanani vallage kundutsi ukubwa ni hekari sita na nusu bei` kila hekari Kutoka barabarani ni mita` Ardhi yake niile yamatope kukinyesha na rutuba iko sawa waeza fanya ukuliwa wowote Majirani wako , Iko na cheti chake na mwenyewe yuko na yuko tayari kumuuzia yeyote atakae kua tayari kununua kwa bei watakayo patana Kuna miembe pia shambani shamba nisafi haina mzozo wowote Wamajirani Wala family shamba iko na. Vigingi mpakani Kama alama zamipaka yan beacons Title deed. Ok Map Ok Beacons. Ok Corner. Ok
KSh 750,000 per Acre
Safety tips
Similar properties