




KSh 480,000 Outright Price
Kwale , Tsimba Golini , 1 day ago
Tsimba Golini

Salim yusuf
Verified documentsShamba yauzwa kundutsi unaingia na hapo vuga upande wa kulia kama waenda kwale unaingia kilomita 3,5km Barabara ninzuri yote isipokua kunasehemu yakuingilia hapo shambani, mita 800 ndio haijasafushwa lakini namiguu au pikipiki mafika mpaka shambani Shamba yenyewe ardhi yake niile kukinyesha Inakua na tope Ila rutuba nyingi sana na haijalimwa kwamda iko na msitu mdogo Ninzuri sana sana kwaufugaji mana hautasumbuana na majirani hayo mashamba jirani yote haya limwi, kwahio kulisha nibora na bwawa, la maji karibu nahapo kilomita 1/kutoka shambani waeza peleka mifugo.kunywa maji, Shamba ina title deed, map, mwenyewe yuko hai na jina ni moja Sio shamba ya jamii, maelezo zaidi, piga
KSh 480,000 Outright Price
Safety tips
Similar properties